Communication Officer - Ministry of Information, Communication & Information Technology at Chief Government Spokesperson / Msemaji Mkuu wa Serikali - Dar es Salaam, , Tanzania
Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya Maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.